ETETA | Home juu

Majadiliano na Mkuu wa Shule ya sekondari ya Kilakala kuhusu Mimba za utotoni

Nashukuru Mkuu wa Shule ya sekondari ya Kilakala iliyopo mkoani morogoro kwa ushirikiano wako kwetu, kuonyesha jinsi suala la mimba za utotoni Morogoro linavyorudisha nyuma maendeleo ya Taifa,

Video

Makamu mkuu wa shule ya Morogoro sekondari akielezea sababu mbali mbali za mabinti kupata mimba kwenye umri mdogo
Ona jinsi Bi.elizabeth mengi alivyowaokoa watoto wa kike shule ya kola hill Morogoro
Kampeni ya NIACHE NISOME KWANZA chini ya Bi.Elizabeth mengi imekua mwanga kwa watoto wa kike

Wahisani

  • Wahisani
  • Wahisani
  • Wahisani
  • Wahisani
  • Wahisani