Watanzania Tuwalinde watoto wa kike ili kuepukana na mimba za utotoni
2019-06-13
Watanzania na jamii nzima ni napenda kuwaomba tushirikiane kuwalinda watoto wa kike ili watimize ndoto zao, mimba za utotoni limekuwa janga la kitaifa lakini ninaamini kuwa inawezekana endapo serikali ikiamua ,mbona iliamua viroba visiwepo, mbona Madawa ya kulevya hayapo? Serikali ni wapi inashindwa ktk kuwalinda watoto?Tuungane pamoja NIACHE NISOME KWANZA