Wadau wa” NIACHE NISOME KWANZA”wakiwa katika kikao cha pamoja na wazazi kwa ajili ya kufahamu sababu kubwa ya mimba za utotoni kwa mabinti,
2019-07-26

Mratibu wa Timu ya Magufuli Tubebe Elizabeth Ngaiza Mengi akiwa na Wadau Mbali Mbali Wa kampeni ya “NIACHE NISOME KWANZA” Wakiwa katika kikao cha pamoja kwa kushirikiana na Wazazi Kujadili kwa kina sababu zinazo changia Uwepo wa mimba za utotoni kwa Mabinti.