ETETA | Home juu

Msichana Jitambue

Daktari Neema Mwakifuna Mdau wa MSICHANA JITAMBUE akitoa elimu ya afya kwa wanafunzi wa shule ya sekondari Kipera akielimisha wanafunzi wa kike kuhusu matumizi sahihi ya taulo za kike(PEDI)

Video

Makamu mkuu wa shule ya Morogoro sekondari akielezea sababu mbali mbali za mabinti kupata mimba kwenye umri mdogo
Ona jinsi Bi.elizabeth mengi alivyowaokoa watoto wa kike shule ya kola hill Morogoro
Kampeni ya NIACHE NISOME KWANZA chini ya Bi.Elizabeth mengi imekua mwanga kwa watoto wa kike

Wahisani

  • Wahisani
  • Wahisani
  • Wahisani
  • Wahisani
  • Wahisani