ETETA | Home juu

Msichana jitambue

Mratibu wa kampeni ya MSICHANA JITAMBUE Vicky D.Sengela akiwa katika shule ya sekondari kipera kwa mara ya kwanza akiwa elimisha wasichana wa shule juu ya umuhimu wa elimu, akitoa ufahamu juu ya maadili yao katika jamii na  kuwapa  elimu juu  ya afya ya uzazi na matumizi sahihi ya taulo za usafi(PEDI),Na akiwasihi wajitambue katika masuala mbalimbali yanayo wakabili ilikufikia ndoto zao kimasomo,

 

Video

Makamu mkuu wa shule ya Morogoro sekondari akielezea sababu mbali mbali za mabinti kupata mimba kwenye umri mdogo
Ona jinsi Bi.elizabeth mengi alivyowaokoa watoto wa kike shule ya kola hill Morogoro
Kampeni ya NIACHE NISOME KWANZA chini ya Bi.Elizabeth mengi imekua mwanga kwa watoto wa kike

Wahisani

  • Wahisani
  • Wahisani
  • Wahisani
  • Wahisani
  • Wahisani